DAA UCHAWI HUU NOMA

DAA UCHAWI HUU NOMA

kifumue

Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
43
Reaction score
41
Mgeni nimefika japo hamjanikalibisha sikia hii,kuna jamaa mmoja alikuwa mchawi sana kiasi kwamba aliogopwa sana kijijini aliwaua watu wengi mno.Sasa siku Moja tozi alikwenda kutembelea familia yake kijijini,alikuta wanakijiji wanaishi kwahofu kubwa akawauliza kulikoni,wakamuelezea mambo yote akawajibu hayo mambo madogo sana subilini,wanakijiji walimsii sana aache mambo hayo kwani laasivyo nayeye atakufa lakini akawaambia hapana haiwezekani.Basi jamaa alichukua kama wiki ivi akimfatilia uyo mchawi sindo siku Moja akamwotea mchawi akiingia kichakani kujisaidia,akamsubilia amalize ndipo jamaa akaenda pale kichakani akayazoa Yale mavi,usiku akaenda kuyaweka mlangoni kwa mchawi.asubuhi Yule mchawi alikuta mavi mlangoni akamwamsha mkewe akamwamsha hivi awa jamaa wananitafuta nini?nawaua lakini awakomi Sasa akatoka akawatariifu watu wote pale kijijini,akasema oya mnajua huu Ni msala Sasa kabla siku haijaisha aliyefanya kile kitendo Aje atoe ule mzigo Na aniombe msamaha watu kimya.Basi mchawi akaondoka zake kusubilia mtu aende lakini wapi Basi kufika usiku akaingiazake ndani baada ya nususaa kupita wakamsikia mchawi anapiga kelele
Unajua nini kilitokea nipe mb nikumalizie
 
Vyuma hivi,yaani story ni yako mi ndo nikupe mb!?John chattle kipara legeza kidogo Milembe kutafurika baba
 
Mi sitaki kujua kilichotokea, mb sikupi, pambana na wachawi
 
Mmh. Huyu hakuwa mchawi. Maana navyosikia wachawi wana macho ya kichawi ambayo yanaweza kuona vitu na watu wabaya kwao..
 
Mgeni nimefika japo hamjanikalibisha sikia hii,kuna jamaa mmoja alikuwa mchawi sana kiasi kwamba aliogopwa sana kijijini aliwaua watu wengi mno.Sasa siku Moja tozi alikwenda kutembelea familia yake kijijini,alikuta wanakijiji wanaishi kwahofu kubwa akawauliza kulikoni,wakamuelezea mambo yote akawajibu hayo mambo madogo sana subilini,wanakijiji walimsii sana aache mambo hayo kwani laasivyo nayeye atakufa lakini akawaambia hapana haiwezekani.Basi jamaa alichukua kama wiki ivi akimfatilia uyo mchawi sindo siku Moja akamwotea mchawi akiingia kichakani kujisaidia,akamsubilia amalize ndipo jamaa akaenda pale kichakani akayazoa Yale mavi,usiku akaenda kuyaweka mlangoni kwa mchawi.asubuhi Yule mchawi alikuta mavi mlangoni akamwamsha mkewe akamwamsha hivi awa jamaa wananitafuta nini?nawaua lakini awakomi Sasa akatoka akawatariifu watu wote pale kijijini,akasema oya mnajua huu Ni msala Sasa kabla siku haijaisha aliyefanya kile kitendo Aje atoe ule mzigo Na aniombe msamaha watu kimya.Basi mchawi akaondoka zake kusubilia mtu aende lakini wapi Basi kufika usiku akaingiazake ndani baada ya nususaa kupita wakamsikia mchawi anapiga kelele
Unajua nini kilitokea nipe mb nikumalizie
Kilichotokea umeomba mb...
 
umejitambulisha kwamba wewe ni mgeni? bhas bila shaka unatokea mtaa wa facebook maana ndio mtaa wenye utoto mwingi.
 
hum kila mtu yupo fesibuku ila stori kama hizi hata fesibuku ni nadra sana hizi zinapatikana huko milembe ndg yangu na ww labda uliziona huko sema umesahau maana bado hujapona
 
Back
Top Bottom