daaa afya haipo vzr

daaa afya haipo vzr

MR.EL..

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
5
Reaction score
0
naomba msaada ndgu zang kiuno na tumbo (chini ya kitovu) mnawaka moto sanaa..na haja inatoka ngumu kweli kama ya mbuz na nimesumbuka sana walikua wanadai kisonono baridi lkn nafanya hili na lile cpat dawa..kupima wanadai na cystitis..ambayo inaonekana mda mda mwngine haionekani..Mara UTI mara wadudu kwenye kibofu..sasa HV mmoja anadai inaweza kua bawasili..Mara ndonda mapaka hapa sielew naomba msaada..pls.
 
Muone daktari kaka. . Ulizia daktari mzuri kwa eneo ulipo muelezee shida yako vizuri husifiche kitu, jibu maswali utakayoulizwa bila kupindisha, Mungu akupe wepesi upone haraka
 
naomba msaada ndgu zang kiuno na tumbo (chini ya kitovu) mnawaka moto sanaa..na haja inatoka ngumu kweli kama ya mbuz na nimesumbuka sana walikua wanadai kisonono baridi lkn nafanya hili na lile cpat dawa..kupima wanadai na cystitis..ambayo inaonekana mda mda mwngine haionekani..Mara UTI mara wadudu kwenye kibofu..sasa HV mmoja anadai inaweza kua bawasili..Mara ndonda mapaka hapa sielew naomba msaada..pls.
Kesho asubuhi nenda hospital Kijana
 
kula mapapai kwa wingi (inainisha choo) kwamengine ma dr waja
 
Back
Top Bottom