MR.EL..
Member
- Jan 1, 2014
- 5
- 0
naomba msaada ndgu zang kiuno na tumbo (chini ya kitovu) mnawaka moto sanaa..na haja inatoka ngumu kweli kama ya mbuz na nimesumbuka sana walikua wanadai kisonono baridi lkn nafanya hili na lile cpat dawa..kupima wanadai na cystitis..ambayo inaonekana mda mda mwngine haionekani..Mara UTI mara wadudu kwenye kibofu..sasa HV mmoja anadai inaweza kua bawasili..Mara ndonda mapaka hapa sielew naomba msaada..pls.