Ndiyo, mleta mada kasema liwe somo maana tunajisahau kwa kiburi cha madarakaKila mtu atakufa
Kila nafsi itaonja mauti-QuranDaaaa! Picha linaanzia vigisu za mzee magu kuwanunua wanachadema akiwemo mashinji, lijua likali, nassar,na wengine wengi
Picha la kiburi linasogea mpaka kwa uchaguzi wa serikali ya mtaa!
Picha la kiburi linakuja uchaguzi mkuu, ccm pekee inaongoza nchi.
Picha linakuja bungeni linapokelewa na Job ndungai kwa kishindo, anatengeneza upinzani bandia kwa kiburi cha magu.
Kiburi cha uzima kinawatia upofu magu na job ndungai waue upinzani
Mwisho WA picha la kiburi
Woooooote wawili master steringi na huyo msaidizi wote miili Yao ilishaliwa na funza na kuoza,
CHADEMA Iko barabarani
Ili Lowe somo kwa msajili wa Vyama VYA siasa na Rais wake amwachie lissu.
Hii inaitwa "fisi kala fisi"Umesahau....
Aliyekuwa mshiriki wa ununuzi wa wapinzani akishirikiana na JPM ni Polepole...
Na yeye hatujui wasiojulikana wamemfanyaje..
Alishiriki kulinoa Panga na Panga likampitiaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umesahau....
Aliyekuwa mshiriki wa ununuzi wa wapinzani akishirikiana na JPM ni Polepole...
Na yeye hatujui wasiojulikana wamemfanyaje..
Unakuta wote wamekutana ahera madukani...Hii inaitwa "fisi kala fisi"
Ni kweli! Namkumbuka Jinga yuleKuna jingajinga moja hapa JF alikuwa anaandika kwa kurudiarudia kwamba "kwa JPM kila goti litapigwa"!Kufuru ya kiwango cha juu kabisa!
Huwa hawaamini kwamba watakufa hadi wafe!Madaraka yanakufanya ujione wewe ni mungu mtu kwa sababu unao uwezo wa kuamua lolote na kusujudiwa.
Tujifunze sana na kuomba kuwa na mwisho mwema!
Lengo la hoja ni.. tusiishi kwa viburi, jeuri na kutesa wengine!! Hajasema kuna ambao hawatokufa!!Kila nafsi itaonja mauti-Quran