mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Duh,nje ya kazi yake alikuwaJob bora alipata karma yake hapa hapa kabla hajadanja.
Mtu fresh lkn...nahisi vyeo,nafasi zile huwa zinawafanya wawe hivyo
Ova
Duh,nje ya kazi yake alikuwaJob bora alipata karma yake hapa hapa kabla hajadanja.
Kumsapoti rais aliyesema KATIBA mpya sio kipaumbele chake kunataka moyo wa chuma!Na walikifurahia kifo cha Rais Magufuli nachukia sana Leo hii kina Maria,Mange wanajifanya Wana upendo na hii nchi mbona kipindi cha Magu hawaku msapoti.
Inasikitisha sana!Daaaa! Picha linaanzia figisu za mzee Magu kuwanunua wanachadema akiwemo Mashinji, Lijualikali, Nassar, na wengine wengi
Picha la kiburi linasogea mpaka kwa uchaguzi wa serikali ya mtaa!
Picha la kiburi linakuja uchaguzi mkuu, CCM pekee inaongoza nchi.
Picha linakuja bungeni linapokelewa na Job Ndugai kwa kishindo, anatengeneza upinzani bandia kwa kiburi cha Magu.
Kiburi cha uzima kinawatia upofu Magu na Job nNdugai waue upinzani
Mwisho wa picha la kiburi. Woooooote wawili master steringi na huyo msaidizi wote miili yao ilishaliwa na funza na kuoza, CHADEMA iko barabarani
Hili liwe somo kwa msajili wa Vyama vya siasa na Rais wake amwachie Lissu.
Pamoja na kwamba chadema no reform no election lakini ndio chama maarufu nchiniDaaaa! Picha linaanzia figisu za mzee Magu kuwanunua wanachadema akiwemo Mashinji, Lijualikali, Nassar, na wengine wengi
Picha la kiburi linasogea mpaka kwa uchaguzi wa serikali ya mtaa!
Picha la kiburi linakuja uchaguzi mkuu, CCM pekee inaongoza nchi.
Picha linakuja bungeni linapokelewa na Job Ndugai kwa kishindo, anatengeneza upinzani bandia kwa kiburi cha Magu.
Kiburi cha uzima kinawatia upofu Magu na Job nNdugai waue upinzani
Mwisho wa picha la kiburi. Woooooote wawili master steringi na huyo msaidizi wote miili yao ilishaliwa na funza na kuoza, CHADEMA iko barabarani
Hili liwe somo kwa msajili wa Vyama vya siasa na Rais wake amwachie Lissu.
Nikikumbuka kiburi cha Nebuchadnezar the king of babylon......Ni nani hakua na kibri na akaishi milele??!
Polepole kachinjwa na bisu aliloshiriki kulinoa.Alishiriki kulinoa Panga na Panga likampitiaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Chaaajaabuuu sasa wanaolalamika kuhusu utekwaji wake ni vyama vya upinzani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hayaaa ni maaaajabuuu 😛😛😛😛😛
Kwa hiyo wewe mtu yeyote anayependa utu nchini ni wa chama cha upinzani? Watu hatupiganii haki ya Polepole ya kuishi sababu ni CCM, la ni sababu binadamu wote wana haki sawa ya kuishi. Anyway Chadema ndio chama pekee kilichojipambanua kutaka usawa nchini bila kujali itikadiAlishiriki kulinoa Panga na Panga likampitiaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Chaaajaabuuu sasa wanaolalamika kuhusu utekwaji wake ni vyama vya upinzani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hayaaa ni maaaajabuuu 😛😛😛😛😛
zilikua propaganda za kumchafua Magufuli hakua na mpango wa kuongeza hata wiki kwenye urais Kama muhula wake ungeishaHaswaaa, na Tulia sio Spika tena.
Dah!...maisha haya ...Umesahau....
Aliyekuwa mshiriki wa ununuzi wa wapinzani akishirikiana na JPM ni Polepole...
Na yeye hatujui wasiojulikana wamemfanyaje..
Dah!....umenikumbusha huyo 'jamaa' ambaye alijitoa kabisa ufahamu enzi zile ......Kuna kipindi hata aliandika makala akimuita huyo mtawala 'Alfa na Omega'.....Kuna jingajinga moja hapa JF alikuwa anaandika kwa kurudiarudia kwamba "kwa JPM kila goti litapigwa"!Kufuru ya kiwango cha juu kabisa!
Ukiandika soma tena.Kwa hiyo wewe mtu yeyote anayependa utu nchini ni wa chama cha upinzani? Watu hatupiganii haki ya Polepole ya kuishi sababu ni CCM, la ni sababu binadamu wote wana haki sawa ya kuishi. Anyway Chadema ndio chama pekee kilichojipambanua kutaka usawa nchini bila kujali itikadi
Hawakuwa na namna zaidi ya kuunga mkono, Mimi siwezi kuwalaum, Lijua likalli akikaa miezi minne jela kwa Kesi ya kumnyoosha bila hatiaEnzi zile ni Kama za utumwa nawakumbuka wabunge niliowaheshimu Sana wakapitiwa na utumwa wa enzi za jiwe Pauline Gekuli Mwita Mwikwabe Waitara Lijua Likali Mwl chacha ryoba Joseph mkundi Silinde nk ama kweli dunia hadaha
Ndugai alimwambia zitto naweza kuziya usichangie kitu miaka yote utakapokuwa humu na usinifanye kitu. Ndiyo ndugaiHawa nao yatawakuta tu tena siku si nyingi
Kwa maana ingine umekubaliana na mimi kuwa Chadema ndio pekee iliyojipambanua kukataa ukatili na kukubali usawa wa watanzaniaUkiandika soma tena.
Unajua ulichokiandika hapo?
Niambie ni kiongozi gaani wa CCM aliyesimama hadharani na kupinga kutekwa kwa polepole na wengineo!!?
Haya basi tuseme kada wao Polepole tu ni kiongozi gaani aliyethubutu kufanya hivyo!!?
Wewe ndio umekubaliana na mimi kwa sababu tangu mwanzo nilishasema kuwa cha ajabu ni kuwa vyama vya upinzani ndivyo vilivyokuwa mstari wa mbele kukemea kutekwa kwake wakati enzi za uwepo wake alitumia nguvu na mbinu nyingi kudhoofisha upinzani.Kwa maana ingine umekubaliana na mimi kuwa Chadema ndio pekee iliyojipambanua kukataa ukatili na kukubali usawa wa watanzania