Daaaa! Nimekumbuka viburi vya Job Ndugai na Hayati Magufuli dhidi ya upinzani hasa CHADEMA

Ila ndani ya miaka 10+ Tanganyika imepitia mengi jamani. Lakini bora hao, kwani kwa %kubwa waliokuwa wanatekwa WALIPATIKANA hata kama walikuwa wameumizwa vibaya. Hata Mdude alitekwa lakini...
 
hii ni porojo au urojo gentleman?πŸ’
 
Wote waliosimami ile agenda ya kubadili katiba ili Magufuli aendelee zidi ya vipindi viwili vya miaka 10 hawako kwenye hali zao za zamani:-Magufuli- Kifo, Ndugai- Siyo Spika tena halafu akafariki, Kessy- Siyo mbunge tena na Nkamia - Siyo mbunge tena. Ukikufuru Mungu hakopeshi, adhabu mara moja
 
Mungu ni yeye yule, Jana,Leo, kesho na hata milele!Sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi!Tenda mambo Kwa Haki na Hekima.
 
Akili za wana CHADEMA unazijua wewe!?, ngoja afe uone sifa atakazopewa baada ya kubanwa na mbadala wake, MACHADEMA hayana Akili mkuu!, si unayaona yanavompamba Magufuli pamoja na kuwatwanga risasi 16 na wengine kukimbilia uamishoni lakini leo Magufuli ni Maraika kwao.
 
Na walikifurahia kifo cha Rais Magufuli nachukia sana Leo hii kina Maria,Mange wanajifanya Wana upendo na hii nchi mbona kipindi cha Magu hawaku msapoti.
 
Haswaaa, na Tulia sio Spika tena.
 
Na walikifurahia kifo cha Rais Magufuli nachukia sana Leo hii kina Maria,Mange wanajifanya Wana upendo na hii nchi mbona kipindi cha Magu hawaku msapoti.
Kuna Mambo yeye Mwendazake alikosea pakubwa na ndipo walipo tofautiana na hawa upinzani.
 
Usishindane na binadamu anayekufa utajipa attention yenye usumbufu mwingi usio na sababu

Binadamu anayekufa na anakiburi, mpe muda huku unakula popcorn
 
Mimi naye na kumbuka cha msaidizi wa Yustino,japo kapigwa kikumbo na yupo nje ya reli anaugulia maumivi,ila wote hawa na yooote waliyofanya yalizaa matokeo ya oct 29 baada na athari endelevu kwa taifa letu.Sina maneno yakusema ila yanayojiri ni juu ya kila mmoja hata wale chawa walio zaliwa kwa viburi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…