Daaaa! Nimekumbuka viburi vya Job Ndugai na Hayati Magufuli dhidi ya upinzani hasa CHADEMA

Inasikitisha sana!
 
Pamoja na kwamba chadema no reform no election lakini ndio chama maarufu nchini
 
Polepole kachinjwa na bisu aliloshiriki kulinoa.
 

Unaijua Vietii Weweee...??
Maisha Yapo Kasi Sanaa....
Tuendelee Kuishi Na Kuishia Tu....
​
 
Kwa hiyo wewe mtu yeyote anayependa utu nchini ni wa chama cha upinzani? Watu hatupiganii haki ya Polepole ya kuishi sababu ni CCM, la ni sababu binadamu wote wana haki sawa ya kuishi. Anyway Chadema ndio chama pekee kilichojipambanua kutaka usawa nchini bila kujali itikadi
 
Umesahau....
Aliyekuwa mshiriki wa ununuzi wa wapinzani akishirikiana na JPM ni Polepole...
Na yeye hatujui wasiojulikana wamemfanyaje..
Dah!...maisha haya ...
 
Kuna jingajinga moja hapa JF alikuwa anaandika kwa kurudiarudia kwamba "kwa JPM kila goti litapigwa"!Kufuru ya kiwango cha juu kabisa!
Dah!....umenikumbusha huyo 'jamaa' ambaye alijitoa kabisa ufahamu enzi zile ......Kuna kipindi hata aliandika makala akimuita huyo mtawala 'Alfa na Omega'.....
 
Ukiandika soma tena.
Unajua ulichokiandika hapo?

Niambie ni kiongozi gaani wa CCM aliyesimama hadharani na kupinga kutekwa kwa polepole na wengineo!!?
Haya basi tuseme kada wao Polepole tu ni kiongozi gaani aliyethubutu kufanya hivyo!!?
 
Enzi zile ni Kama za utumwa nawakumbuka wabunge niliowaheshimu Sana wakapitiwa na utumwa wa enzi za jiwe Pauline Gekuli Mwita Mwikwabe Waitara Lijua Likali Mwl chacha ryoba Joseph mkundi Silinde nk ama kweli dunia hadaha
Hawakuwa na namna zaidi ya kuunga mkono, Mimi siwezi kuwalaum, Lijua likalli akikaa miezi minne jela kwa Kesi ya kumnyoosha bila hatia
 
Huu uzi tutakumbushana hapahapa... Inafikirisha sana sababu hawa wa sasa watatemewa makohozi kuliko kina polepole na JPM 😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Hawa nao yatawakuta tu tena siku si nyingi
Ndugai alimwambia zitto naweza kuziya usichangie kitu miaka yote utakapokuwa humu na usinifanye kitu. Ndiyo ndugai
Alivyofariki nilifirahi sana
 
Ukiandika soma tena.
Unajua ulichokiandika hapo?

Niambie ni kiongozi gaani wa CCM aliyesimama hadharani na kupinga kutekwa kwa polepole na wengineo!!?
Haya basi tuseme kada wao Polepole tu ni kiongozi gaani aliyethubutu kufanya hivyo!!?
Kwa maana ingine umekubaliana na mimi kuwa Chadema ndio pekee iliyojipambanua kukataa ukatili na kukubali usawa wa watanzania
 
Kwa maana ingine umekubaliana na mimi kuwa Chadema ndio pekee iliyojipambanua kukataa ukatili na kukubali usawa wa watanzania
Wewe ndio umekubaliana na mimi kwa sababu tangu mwanzo nilishasema kuwa cha ajabu ni kuwa vyama vya upinzani ndivyo vilivyokuwa mstari wa mbele kukemea kutekwa kwake wakati enzi za uwepo wake alitumia nguvu na mbinu nyingi kudhoofisha upinzani.

But we're same in ideas 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝🀝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…