Daaaah, juzi nilikuwa kwenye harusi nikakanyaga waya kwa bahati mbaya Mziki ukazima

Ugomvi wake haukuisha pale ad kutakaja kuamuliwa na winchiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sipendag dharau Mimi
 
Comments za Tiktok zimehamia JF kama uzi sasa.
 
Muziki jambo dogo, ungemwaga pombe ndio ungejua watu wana hasira
 
Kama ni huku kwetu ile tuu mziki unazima na wewe unazima ukija uzinduka utasikia padri anasema " Mwanga wa milele umwangazie ,Marehemu apumzike kwa amani"
 
Kama ni huku kwetu ile tuu mziki unazima na wewe unazima ukija uzinduka utasikia padri anasema " Mwanga wa milele umwangazie ,Marehemu apumzike kwa amani"
Apo ndo utajua weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unakufa,una ded,unafariki,unakua marehemu ukufa kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utajua wewe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu upuuzi nimeusoma pia kwenye group la WhatsApp miezi kama minne iliyopita, poleni sana mnaokutwa na huu mkasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…