Daaah! Mbona Tz yapenda kuiga Kenya sana?

Huo mwimbo hauna copy right! BTW huu mwimbo una viewers wengi than songs from most Kenyan artists!
Me mwenyewe toka zamani najua huo wimbo wa Tanzania, ni baada ya interactions na Kenya ndio nikajua kumbe kuna version ya Kenya, nakumbuka kuna kipindi Mkapa alitembelea kama sio Japan ni China, watoto walimuimbia huo wimbo Airport.
 
utawaweza kwa ku-claim kama Mt Kilimnjaro wanadai ni mlima wao sembuse wimbo?
 
Me mwenyewe toka zamani najua huo wimbo wa Tanzania, ni baada ya interactions na Kenya ndio nikajua kumbe kuna version ya Kenya, nakumbuka kuna kipindi Mkapa alitembelea kama sio Japan ni China, watoto walimuimbia huo wimbo Airport.
Nugu! Wimbo huo uliandukwa na kuimbwa na The Mushrooms kutoka taita. Tangu lini taita ikawa mkoa wa Danganyika?
 
Ubunifu zerooo! Ndio kasumba ya watz. Asili ya neno 'Hakuna matata' ni Kenya, hilo halina ubishi. Huu wimbo nilishuhudia wakiwaimbia watalii kule Serengeti, bila aibu. Alafu wakisema 'wageni, mwakaribishwa', watalii wanajibu, 'Kenya yetu, hakuna mataraa'! [emoji1]
 
Me mwenyewe toka zamani najua huo wimbo wa Tanzania, ni baada ya interactions na Kenya ndio nikajua kumbe kuna version ya Kenya, nakumbuka kuna kipindi Mkapa alitembelea kama sio Japan ni China, watoto walimuimbia huo wimbo Airport.

Wageni wakaribishwa [Ke] [Nya] yetu, hakuna matata.
Wageni wakaribishwa [Tan] [za] [nia] yetu, hakuna matata.

Hakuna mtungaji yeyote wa nyimbo anaweza weka jina la silabi tatu hapo nilipoweka brackets.
Hata haingiani.
Tanzania muache wizi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wimbo rudishieni Them Mushrooms na lyrics yao.
 
Kwahyo tatizo la kufight kisa huu wimbo ni nini? Ndio maana hata hii EAC inasuasua kwasababu za ubinafsi. Tanzania and kenya ni EA's super powers we should unite and work together, we should make things right so that our little brothers like uganda rwanda and burundi will follow us, akini kila siku ni maugomvi tu mana huu sio ushindani, hizi ni chuki ubinafsi na ugomvi. Em angalia super powers za kule west Nigeria na Ghana wanavoshirikiana! Yani wakicomment kitu kwe youtube huweza tenganisha huyu ni mghana au Nigeria. But when it comes btn us, lol Kwann hzi thread zisibadilike na kuandika "guys look how our neighbour Tanzanians take a step foward in sydney on spreading swahili to the world" or instead of dar vs nairobi, just put something like dar and nairobi. Nilikuja huku jf sina chuki na kenya or wenzangu wa tz but hzi thread ndo sababu ya chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…