Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Geza Ulole anauita mwimboAliewambia huo wimbo mali yenu nani?
Me mwenyewe toka zamani najua huo wimbo wa Tanzania, ni baada ya interactions na Kenya ndio nikajua kumbe kuna version ya Kenya, nakumbuka kuna kipindi Mkapa alitembelea kama sio Japan ni China, watoto walimuimbia huo wimbo Airport.Huo mwimbo hauna copy right! BTW huu mwimbo una viewers wengi than songs from most Kenyan artists!
😂😂😂😂Geza Ulole anauita mwimbo
utawaweza kwa ku-claim kama Mt Kilimnjaro wanadai ni mlima wao sembuse wimbo?Me mwenyewe toka zamani najua huo wimbo wa Tanzania, ni baada ya interactions na Kenya ndio nikajua kumbe kuna version ya Kenya, nakumbuka kuna kipindi Mkapa alitembelea kama sio Japan ni China, watoto walimuimbia huo wimbo Airport.
Nugu! Wimbo huo uliandukwa na kuimbwa na The Mushrooms kutoka taita. Tangu lini taita ikawa mkoa wa Danganyika?Me mwenyewe toka zamani najua huo wimbo wa Tanzania, ni baada ya interactions na Kenya ndio nikajua kumbe kuna version ya Kenya, nakumbuka kuna kipindi Mkapa alitembelea kama sio Japan ni China, watoto walimuimbia huo wimbo Airport.
Aliewambia huo wimbo mali yenu nani?
Huo mwimbo hauna copy right! BTW huu mwimbo una viewers wengi than songs from most Kenyan artists!
Aa wapii hamna Mkenya anaweza tunga wimbo wa Kiswahili! Toka enzi hizo mpaka sasa!1982 wakenya wakiutunga huu wimbo, hakukuwa na YouTube.
Me mwenyewe toka zamani najua huo wimbo wa Tanzania, ni baada ya interactions na Kenya ndio nikajua kumbe kuna version ya Kenya, nakumbuka kuna kipindi Mkapa alitembelea kama sio Japan ni China, watoto walimuimbia huo wimbo Airport.
Aa wapii hamna Mkenya anaweza tunga wimbo wa Kiswahili! Toka enzi hizo mpaka sasa!
Aa wapii hamna Mkenya anaweza tunga wimbo wa Kiswahili! Toka enzi hizo mpaka sasa!