Daaahh huku JF ni mzukaa kiwaki sema nn machalii wa huku mnazingua kitu moko yaani

Daaahh huku JF ni mzukaa kiwaki sema nn machalii wa huku mnazingua kitu moko yaani

Daytime natimba kuibuka huku jamii nakutana vitu vya ukweng,e kuchimba indeep mavitu ya fyade mazee full happy
Respect kwa masela zanguni wotee nawakubali kinyamaa
Humu JF hamna "masela wala "mazee"! Huku kuna "wakuu".
 
Back
Top Bottom