Daaahh huku JF ni mzukaa kiwaki sema nn machalii wa huku mnazingua kitu moko yaani

Daytime natimba kuibuka huku jamii nakutana vitu vya ukweng,e kuchimba indeep mavitu ya fyade mazee full happy
Respect kwa masela zanguni wotee nawakubali kinyamaa
Humu JF hamna "masela wala "mazee"! Huku kuna "wakuu".
 
Oraaaa ni yente dingooo ni tupo pamoja kinyama chaliang respect
Hahahaha Naona Home boy kashatimba kwa fas duas,aina kweraa anakaribishwa ajiskie yupo JF.
 
Siku hizi aiseee [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…