Daah! Aisee, nimetengeneza mtindi safi kabisa kwa njia hii

Chukua maziwa fresh then kanunue mtinsi wa jero changanya mle acha kesho yake njoo uchukue mtindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fu Full mabakteria humo
 
Kwanza hujachemsha,
pili maziwa kuganda bila kuweka kigandishio,uwezekano mkubwa yameharibika,
lakini sio ishu,vijijini huko watu hugandisha bila kuchemsha na yanaganda,
japo sidhani kama hawaweki kigandishio
 
N
Nunua mziwa yako chukua kipande Cha limao kamulia mtibdi tayar Tena mzuri kweliii
Nakamulia baada ya kuuchemsha au kabla mkuu?

Na nikishakamulia nauweka kwenye friji au mje ya friji?

Nautia kwenye chups au kwenye sufuria?

Nauacha mda gani mkuu?

Naomba unijibu natanguliza shukran
 
Nakamulia baada ya kuuchemsha au kabla mkuu?

Na nikishakamulia nauweka kwenye friji au mje ya friji?

Nautia kwenye chups au kwenye sufuria?

Nauacha mda gani mkuu?

Naomba unijibu natanguliza shukran
WAWEZA chemsha ukipenda ili Kuua vijidudu mkuu.
La Kama hupendi kuchemsha waweka limao hivyohivyo
Ukipenda uwe wa baridi weka ktk friji lakini SI lazima Kama hupendi uwe baridi
Ukisha weka limao tu huganda palepale yaani Ni kitendo Cha dakika 1-2 tu
WEKA kwenye chombo chochot ukipendacho
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kwenye kuishi kwingi kuona mengi aiseee???

Inamaana nimekuwa najipa shida(najila)kuuweka mtindi chini ya kitanda masaa 24 kumbe kuna njia ya hivi mkuu?

Unaganda ile unakuwa kama unamega tonge ya ugali au unaganda kimagumashi tu?
WAWEZA chemsha ukipenda ili Kuua vijidudu mkuu.
La Kama hupendi kuchemsha waweka limao hivyohivyo
Ukipenda uwe wa baridi weka ktk friji lakini SI lazima Kama hupendi uwe baridi
Ukisha weka limao tu huganda palepale yaani Ni kitendo Cha dakika 1-2 tu
 
Ninyi watoto wa darisalama mnashida kweli sasa friji la nini kugandisha maziwa rudi kijijini omba kibuyu kinakua kinakaa kwenye kona ukitia fresh leo kesho unamimini mtindi safi kabisa
 
Pole Mkuu unaganda freeesh kabisa mabonge makubwa makubwa halafu ladha NZUURII.kimsingi una punguza kigandishwa na bakteria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…