NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
H
Hata kipande TU mkuu kinatoshaAisee wacha niagize kesho.
Na vipi limao kiasi gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kipande TU mkuu kinatoshaAisee wacha niagize kesho.
Na vipi limao kiasi gani mkuu?
Sikologi au?H
Hata kipande TU mkuu kinatosha
Waweza kukoroga Yu mkuuSikologi au?
Waweza kukoroga Yu mkuu
Na kuongezea hapo, maziwa yaliyogandishwa vizuri hayatakiwi kujitenga na maji.Daah kwa hyo mkuu Bilionea Asigwa ningeyakoroga na yale maji pasi na kuyamwaga mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu naomba njia nzuri ya kugandisha mana nimejaribu njia ya wadau baadhi zimefeliiNa kuongezea hapo, maziwa yaliyogandishwa vizuri hayatakiwi kujitenga na maji.
Nimechukua maziwa fresh from the bush(broken)maziwa hayajachakachuliwa kabisa.
Kisha nikayaweka kwenye friji yakapata baridii kiasi yale maziwa.
Alafu nikizima friji langu na maziwa yapo mule mulee unayaacha kama masaa 12 mpaka 15,ukishazima friji alafu likapoa kule ndani kunakuwa na joto joto ambalo linasaidia kugandisha mtindi wako.
Baada ya hayo masaa ukienda kutizama utakuwa ile chupa ina maji maji,alafu utaona ule mtindi tayari unaelea katika yale maji maji ya ndani ya chups ya maziwa.
Baada ya hapo kama unachujio la juisi chukua alafu chujia ule mtindi maji yote yatatoka na utabaki huu mtindi mzito ambao utautia katika chombo kinginee na kusnza kukoroga ikiwa nataka mtindi uwe laini bila mabongeee.
Hapo mtindi unaukoroga na mwiko alafu unatokea ule mtindi lainiiii tayari kula hapo,waweza tia sukari n.k
Hii njia inaweza kuwa na madhara wakuu?,na wewe kama una njia yako iweke tujifunze zaidi.
Mtanisamehe hii thred mwanzo nimeanza kama nafanya mimi alafu hapo kati nimechanganya kama nawafundisha nyinyi,mnivumiliee tu hivyo ndo nilivyofanya mpaka mtindi ukawa mtindiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama maziwa ni mazuri hayaongezwa maji huna haja ya kuchuja. Sio lazima uweke kwenye friji hata ukiyaacha yakatulia ni yanatoka vizuri. Mimi nina uwezo wa kunywa mtindi lita mbili kwa siku
Ila kiukweli maziwa yasiyochemshwa mtindi wake mzuri sana