Daah! Aisee, nimetengeneza mtindi safi kabisa kwa njia hii

Na kuongezea hapo, maziwa yaliyogandishwa vizuri hayatakiwi kujitenga na maji.
Sasa mkuu naomba njia nzuri ya kugandisha mana nimejaribu njia ya wadau baadhi zimefelii
 
Sema umeme ulikatika maziwa yakiwa kwenye frig ndio ukapata mtindi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…