St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Duh bwawa la mtera vs kibamia, ukiuza cheni feki lazima upokee hela bandia.🤣🤣
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri sikufahamu wewe endelea tugawane virusiAisee , hapa home naishi na dada flani hivi ni nurse , bwana wake yupo mwanza kutokana na kumdadis sku moja ilaa daah nampa pole sna tena sna huyo bwana wake maana kuna ki janafunzi hapa ki benten daily anamgonga tena kwa mbwembwe zote
Pole sna kwa mara nyengine ww ambaye ni mmiliki wa huyu demu maana daah anagawa balaa hata mm niliwahi kula ila nimekutana ana bwawa la mtera nikaona nisipoteze heshima kwa mke wangu nikajiweka pemben
Wanaume wote ambao maden zenu wapo mbali na nyiny nawapa pole sana
Wewe unaweza mkuu?Kufumania sio mchezo mkuu.uwe na moyo wakutosha
Hapo ulipanga uandike kwa vina au imetokea tu?Duh bwawa la mtera vs kibamia, ukiuza cheni feki lazima upokee hela bandia.🤣🤣
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eh unatutisha mkuu
Umepigiwa babaManeno kama haya sikuwa nikiyaamini hata kidogo, ila nmekuja kugundua ni sahihi kwa 99.9%. Ni last week tu nmeachana nae
Tena huko akifika tu atagongwa kishenzi na wanafunzi wenzake, tena watapanga chumba kimoja basi full migegedo mpk watapeana mimbaPost zingine zina lenga kutaka kuuwa watu au kutupa presha , sasa me. Baby anaenda UDSM kusoma vipi nimzuie maana me nitakua UDOM nisitishe relationship au vipi?
Kuna uwezekano 99.9%Umepigiwa baba