Daah! Ama kweli muosha huoshwa. Mcheki huyu jamaa aliyekuwa na confidence la "kufa mtu" kabaki kichwa tu

watu wamemkula kichwa πŸ˜€ πŸ˜€ CCM ni zaidi ya uijuavyo.
 
Inaonekana kijana sabaya aligusa anga za wakubwa na alikuwa na dharau sana hata kwa walio mlea na walio mzidi mamlaka.

Acha wampe discipline kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…