J jaluz Member Joined Oct 18, 2012 Posts 47 Reaction score 7 Nov 1, 2012 #1 Maduu wa udsm sasa wanavaa kiasi matiti yapo nje nje! Kwa staili hii kweli tutafika? Kweli siku za mwisho zimekaribia
Maduu wa udsm sasa wanavaa kiasi matiti yapo nje nje! Kwa staili hii kweli tutafika? Kweli siku za mwisho zimekaribia
M mgomba101 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2011 Posts 1,821 Reaction score 710 Nov 1, 2012 #2 Jiulize wewe utafika! usiusemee moyo.wewe fuata kilichokupeleka full stop.
J Jawason jawa Member Joined Oct 13, 2012 Posts 25 Reaction score 1 Nov 1, 2012 #3 Acha tamaa kijana,boom linaitwa hapo!!Ukicheza blander umeumiaaa!!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Nov 1, 2012 #4 Asa wewe wanakukera nin,au unawatamani?
J jaluz Member Joined Oct 18, 2012 Posts 47 Reaction score 7 Nov 1, 2012 Thread starter #5 siwatamani hata punje!,tena washindwe kwa jina la ...
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,351 Nov 1, 2012 #6 jaluz said: Maduu wa udsm sasa wanavaa kiasi matiti yapo nje nje! Kwa staili hii kweli tutafika? Kweli siku za mwisho zimekaribia Click to expand... Na wewe vaa suruali chini ya makalio kabisa. Gangamala kijana achana na hayo maziwa ya hao vidosho au ndiyo umeanza kuyaona leo????
jaluz said: Maduu wa udsm sasa wanavaa kiasi matiti yapo nje nje! Kwa staili hii kweli tutafika? Kweli siku za mwisho zimekaribia Click to expand... Na wewe vaa suruali chini ya makalio kabisa. Gangamala kijana achana na hayo maziwa ya hao vidosho au ndiyo umeanza kuyaona leo????
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 651 Nov 1, 2012 #7 Kupuuzia Dressing Code katika public ndio inayopelekea watu wapendekeze serikali za kidini, nakumbuka hata enzi za mwalimu kulikuwa na kauli mbiu kukataza nguo zisizo za heshima na hasa katika maeneo ya public.
Kupuuzia Dressing Code katika public ndio inayopelekea watu wapendekeze serikali za kidini, nakumbuka hata enzi za mwalimu kulikuwa na kauli mbiu kukataza nguo zisizo za heshima na hasa katika maeneo ya public.
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Nov 1, 2012 #8 Ningekuwa mkuu wa chuo apo ningeweka Tangazo kama la CBE
J jaluz Member Joined Oct 18, 2012 Posts 47 Reaction score 7 Nov 1, 2012 Thread starter #9 Kwanini zisiwepo sare kama za diploma ya ualimu ili kujaribu kupunguza hizi adha za majaribu,serikali mpo wapi?
Kwanini zisiwepo sare kama za diploma ya ualimu ili kujaribu kupunguza hizi adha za majaribu,serikali mpo wapi?
MANYORI Jr JF-Expert Member Joined Mar 25, 2012 Posts 462 Reaction score 343 Nov 1, 2012 #10 dogo acha u xé******,unataka waugue mifungus ya makwapa na wama nn!?....ndo habari ya city ka vp kawanunulie hijabu mdogo wangu
dogo acha u xé******,unataka waugue mifungus ya makwapa na wama nn!?....ndo habari ya city ka vp kawanunulie hijabu mdogo wangu
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Nov 1, 2012 #11 Si uongozi wa UDSM umeacha kuendeleza sera ya mavazi vyuonio iliyoasisiwa na SAUT. Muombe Mungu akuepushe katika vishawishi vya 'makahaba'.
Si uongozi wa UDSM umeacha kuendeleza sera ya mavazi vyuonio iliyoasisiwa na SAUT. Muombe Mungu akuepushe katika vishawishi vya 'makahaba'.
M mipango k Senior Member Joined Oct 31, 2012 Posts 100 Reaction score 8 Nov 1, 2012 #12 maisha ya wasomi kiujumla hayatoi fundisho kwa jamii ya nje ktk maadili mema,mm huku walishakatazwa kuvaa hovyo,
maisha ya wasomi kiujumla hayatoi fundisho kwa jamii ya nje ktk maadili mema,mm huku walishakatazwa kuvaa hovyo,
Johas Senior Member Joined Feb 13, 2009 Posts 141 Reaction score 32 Nov 1, 2012 #13 Ungetupia lugha ya picha, uzi wako ungekuwa poa sana... lakini achana na habari hizo dogo... piga book.!!
Ungetupia lugha ya picha, uzi wako ungekuwa poa sana... lakini achana na habari hizo dogo... piga book.!!
I Isaack Daniel Member Joined Oct 21, 2012 Posts 21 Reaction score 0 Nov 2, 2012 #14 Kila mtu anajua aendako,jifikirie wewe kwanza,usiuwazie moyo wa mwenzako.! Kwa staili hii kweli tutafika? Kweli siku za mwisho zimekaribia[/QUOTE]
Kila mtu anajua aendako,jifikirie wewe kwanza,usiuwazie moyo wa mwenzako.! Kwa staili hii kweli tutafika? Kweli siku za mwisho zimekaribia[/QUOTE]
CHAMVIGA JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 7,687 Reaction score 2,240 Nov 2, 2012 #15 Hapa kwetu raha hamna ujinga huo wa kuvaa suruali kwa wanawake wala mregezo kwa wanaume ukidakwa sap au disco inakuhusu.
Hapa kwetu raha hamna ujinga huo wa kuvaa suruali kwa wanawake wala mregezo kwa wanaume ukidakwa sap au disco inakuhusu.