Daah,hii kali!

Daah,hii kali!

jaluz

Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
47
Reaction score
7
Maduu wa udsm sasa wanavaa kiasi matiti yapo nje nje! Kwa staili hii kweli tutafika? Kweli siku za mwisho zimekaribia
 
Jiulize wewe utafika! usiusemee moyo.wewe fuata kilichokupeleka full stop.
 
Asa wewe wanakukera nin,au unawatamani?
 
siwatamani hata punje!,tena washindwe kwa jina la ...
 
Maduu wa udsm sasa wanavaa kiasi matiti yapo nje nje! Kwa staili hii kweli tutafika? Kweli siku za mwisho zimekaribia

Na wewe vaa suruali chini ya makalio kabisa. Gangamala kijana achana na hayo maziwa ya hao vidosho au ndiyo umeanza kuyaona leo????
 
Kupuuzia Dressing Code katika public ndio inayopelekea watu wapendekeze serikali za kidini, nakumbuka hata enzi za mwalimu kulikuwa na kauli mbiu kukataza nguo zisizo za heshima na hasa katika maeneo ya public.
 
Ningekuwa mkuu wa chuo apo ningeweka Tangazo kama la CBE
 
Kwanini zisiwepo sare kama za diploma ya ualimu ili kujaribu kupunguza hizi adha za majaribu,serikali mpo wapi?
 
dogo acha u xé******,unataka waugue mifungus ya makwapa na wama nn!?....ndo habari ya city ka vp kawanunulie hijabu mdogo wangu
 
Si uongozi wa UDSM umeacha kuendeleza sera ya mavazi vyuonio iliyoasisiwa na SAUT. Muombe Mungu akuepushe katika vishawishi vya 'makahaba'.
 
maisha ya wasomi kiujumla hayatoi fundisho kwa jamii ya nje ktk maadili mema,mm huku walishakatazwa kuvaa hovyo,
 
Ungetupia lugha ya picha, uzi wako ungekuwa poa sana...

lakini achana na habari hizo dogo...

piga book.!!
 
Kila mtu anajua aendako,jifikirie wewe kwanza,usiuwazie moyo wa mwenzako.! Kwa staili hii kweli tutafika? Kweli siku za mwisho zimekaribia[/QUOTE]
 
Hapa kwetu raha hamna ujinga huo wa kuvaa suruali kwa wanawake wala mregezo kwa wanaume ukidakwa sap au disco inakuhusu.
 
Back
Top Bottom