Daah kwa staili hii Kiba atampoteza mapema sana Diamond

Hawa wasanii wawili tuna wa upgrade kiasi cha kutoona kazi za watu wengine.
 
Muache uchonganishi wa kijinga wote wakali na kila mmoja ananafasi yake
 
Huwezi kumpandisha Diamond kwenye basi moja na kina Nuhu Mziwanda mpaka Songea akaimbe kwenye Fiesta, hizo level za Ali Kiba.
[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu umeua!

......
 
Kwaio hapo ndio yupo kwenye ubora wake? Huyu jamaa mnamkuza sana level zake ndogo sana kwa chibu. Mpinzani wa chibu kwa sasa ni Aslay ndio wanaweza pambana.
by the way,lakini nahisi now mna muoverrate sana huyu Aslay...halafu usitake kumkomaza mtoto wa watu kwa kumfananisha na mtu kama diamond...mtafutie wa rika lake kimuziki hlf uwalinganishe...maana hata huyo diamond unayemtetea hapa unamshushia heshima yake kwa upande mwengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaringanisha Fiesta na Show za One Man...

Philips X2560
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…