Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balozi wa pombe kama huddahCjaona kipya ambacho alicho fanya apo mond ajawai fanya emu kaangalie account ya Rick Ross insta afu urudi apa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah huyu Nuhu mziwanda mnamuoneaga sanaHuwezi kumpandisha Diamond kwenye basi moja na kina Nuhu Mziwanda mpaka Songea akaimbe kwenye Fiesta, hizo level za Ali Kiba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa staili hii ali kiba akikaza Anaweza kumpoteza diamond mapema sana jamaa anaweza tuache utani.......cheki hapa
[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu umeua!Huwezi kumpandisha Diamond kwenye basi moja na kina Nuhu Mziwanda mpaka Songea akaimbe kwenye Fiesta, hizo level za Ali Kiba.
by the way,lakini nahisi now mna muoverrate sana huyu Aslay...halafu usitake kumkomaza mtoto wa watu kwa kumfananisha na mtu kama diamond...mtafutie wa rika lake kimuziki hlf uwalinganishe...maana hata huyo diamond unayemtetea hapa unamshushia heshima yake kwa upande mwengine.Kwaio hapo ndio yupo kwenye ubora wake? Huyu jamaa mnamkuza sana level zake ndogo sana kwa chibu. Mpinzani wa chibu kwa sasa ni Aslay ndio wanaweza pambana.