Lakini sio rahisi maan ukiangalia most ov things alikiba anapita kule ambako domo amepita,..am alikiba funny lakn kwa maan yakusema kweli mond ki level yupo mbele sana kwa alikiba...ali inabidi akomae zaidiKwa staili hii ali kiba akikaza Anaweza kumpoteza diamond mapema sana jamaa anaweza tuache utani.......cheki hapa
nadhani katika hao 30ambao the boss anawafollow mond nae yumo kamq hayumo buuh
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikiba anaweza kulia watu mna shushua jamani😀Huwezi kumpandisha Diamond kwenye basi moja na kina Nuhu Mziwanda mpaka Songea akaimbe kwenye Fiesta, hizo level za Ali Kiba.