Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa staili hii ali kiba akikaza Anaweza kumpoteza diamond mapema sana jamaa anaweza tuache utani.......cheki hapa
nadhani katika hao 30ambao the boss anawafollow mond nae yumo kamq hayumo buuh![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikiba anaweza kulia watu mna shushua jamani😀Huwezi kumpandisha Diamond kwenye basi moja na kina Nuhu Mziwanda mpaka Songea akaimbe kwenye Fiesta, hizo level za Ali Kiba.