Yan leo hii MCHANGA Umekuwa dili namna hiii[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Yan MCHANGA umekuwa maarufu kuliko hata baadhi ya wabunge na madiwani[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Afu mbona mchanga mwingi sana pale COCO mbona hawaugombei[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mm mchanga siupendagi.tulikuwa na apointment na dem wang kichakani,wakati wa kuandaana mchanga ule ukaingia kwenye tumbua la shemeji yenu.tangu siku hiyo siutaki kbs bora awaachie wapeleke tu.