Daah kweli dunia inabadirika...

Daah kweli dunia inabadirika...

Perfectz

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
9,045
Reaction score
28,216
Yan leo hii MCHANGA Umekuwa dili namna hiii[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Yan MCHANGA umekuwa maarufu kuliko hata baadhi ya wabunge na madiwani[emoji30] [emoji30] [emoji30]
Afu mbona mchanga mwingi sana pale COCO mbona hawaugombei[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Shangaa na wewe. Mchanga mchanga aisee
images(8).jpg
 
Mchanga wa coco ni deal kwa waganga tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mm mchanga siupendagi.tulikuwa na apointment na dem wang kichakani,wakati wa kuandaana mchanga ule ukaingia kwenye tumbua la shemeji yenu.tangu siku hiyo siutaki kbs bora awaachie wapeleke tu.
 
Back
Top Bottom