Daah kweli Mungu hamtupi mja wake... Aisee siamini

Usijisifie mkuu hapo competition inevitable..! Mimi huku napambana nimnase mlokole mwanasheria nimeokoka ila sina ujanja nimewachia Mungu aingilie maana mpole mpaka namwogopa aisei..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee wewe jamaa chenga sana.
Ushauri chunga asipate negatives zako, competitor wako atapata advantage hapo, ficha makandokando yako..!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee wewe jamaa chenga sana.
Vichwa vikubwa huwa hatupayuki..! Unaficha makandokando ukisha chukua mzigo unazinduka akijidai kupandisha mashetani too late to catch the train..[emoji41] [emoji41]
 
kosa kubwa hujamuukiza bikra alitoa nani... make nae akimuona atamrukia kama wew
 
Classmate wa primary mpaka kawa daktari ni miaka mingapi hiyo hamjaonana? Na kwa uzuri wa sura unaomsifia, kaonwa na wangapi?
All in all utatupatia mrejesho baada ya kuvaa miwani mkuu
 
ndugu Umempenda Au Umemtamani?

Watu siku hizi wanashindwa kutofautisha, Kupenda na Kutamani.

Kupenda ni tofauti na kutamani. Watu wengi leo wanaoana kwa kutamaniana na siyo kupendana.

Ndiyo maana ndoa nyingi Azidumu ni matokeo ya Kutamaniana na siyo kupendana.

Hivyo ni vyema ukajichunguza kwanza ndani ya Moyo wako Je! Unampenda Au unamtamani!

Usijekuta unamtamani na siyo kumpenda mwisho wa siku baada ya kupata unachokitaka kwake unamwona wa kawaidatu.
 
Classmate wa primary mpaka kawa daktari ni miaka mingapi hiyo hamjaonana? Na kwa uzuri wa sura unaomsifia, kaonwa na wangapi?
All in all utatupatia mrejesho baada ya kuvaa miwani mkuu
Tumeplan kumeet karibuni utapata mrejesho wa uhakika kaka
 
Kaka tamaa haiko hapa sio mahala pake ila amini amini nachokwambia huyu binti ni mrembo haswa kaka kama mambo yakienda inavyo paswa kaka hapa ni penyewe panafaa kuitwa usingizi
 
dizaini amenielewa pia maana ana vijimaswali flani hivi vinanifanya natabasamu kila text ya whassap ikitua kwenye simu yangu.
Dah kweli mapenz uchizi, kwa iyo unajikuta unatabasam na cm maskin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…