BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Mpaka sahv najua ushaomba akurushie picha zake haha..endelea kutabasam na screen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazungumzia picha kaka this i realy life... Picha haina mantiki yeyoteMpaka sahv najua ushaomba akurushie picha zake haha..endelea kutabasam na screen
Mara kibao tu kila nikipata mpenz mpya, actually sijakushangaa ila nimejaribu tu kukuvutia picha unavyojickiaHaijawah kukutokea hiyo
I can say yes lakini mambo mengine huyapangi yanatokea tu sababu ata tuliyopanga yamevurugwa kwaiyo destine tu kakaWe sema ulikuwa unatafuta demu mwenye kazi nzuri bana@
Nimefurahi wewe ni muungwana, umekubali ukweli. Sema nae mkuu,time will tell.I can say yes lakini mambo mengine huyapangi yanatokea tu sababu ata tuliyopanga yamevurugwa kwaiyo destine tu kaka
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ukishachukua mzigo hata akija kushtuka una makandokando hujali mkuu?Vichwa vikubwa huwa hatupayuki..! Unaficha makandokando ukisha chukua mzigo unazinduka akijidai kupandisha mashetani too late to catch the train..[emoji41] [emoji41]
Aisee acha nina kahali flani kafuraha kamenitawala sijui unaelewa nikikwambia shez pure african beutiful queen.. Afu self made, af kastaarabika,sio nimemuelewa haha kanielewa pia yani hapa kaka niache tu... Mungu anajuaga tu wacha aitwe Mungu kwa kweliMara kibao tu kila nikipata mpenz mpya, actually sijakushangaa ila nimejaribu tu kukuvutia picha unavyojickia
daah yan nakuelewa kuliko unavyonifikiriaAisee acha nina kahali flani kafuraha kamenitawala sijui unaelewa nikikwambia shez pure african beutiful queen.. Afu self made, af kastaarabika,sio nimemuelewa haha kanielewa pia yani hapa kaka niache tu... Mungu anajuaga tu wacha aitwe Mungu kwa kweli
vichenchede[emoji23] [emoji23] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ukishachukua mzigo hata akija kushtuka una makandokando hujali mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ukishachukua mzigo hata akija kushtuka una makandokando!
Mzungu angesemaje?.Check analysis ya mswahili kwa mtu waliyekutana naye in hardly 20ms
Umekuwa mhenga...mekumisijeeekipya kinyemi
Wapi?mmekutana
Self maana yake nini?Aisee acha nina kahali flani kafuraha kamenitawala sijui unaelewa nikikwambia shez pure african beutiful queen.. Afu self made, af kastaarabika,sio nimemuelewa haha kanielewa pia yani hapa kaka niache tu... Mungu anajuaga tu wacha aitwe Mungu kwa kweli
??Self maana yake nini?
Self made sio self maana yake ni she's independentSelf maana yake nini?
this time hakuna makosa ni slow but 100% sureMimi nilichojifunza kwako kaka ni kwamba unavutiwa Na urembo Na kazi ya Huyo Dada kumbuka ndoa ni zaidi ya urembo Na kazi Na hakuna MWL WA ndoa