Daah kweli Mungu hamtupi mja wake... Aisee siamini

Mpaka sahv najua ushaomba akurushie picha zake haha..endelea kutabasam na screen
 
We sema ulikuwa unatafuta demu mwenye kazi nzuri bana@
 
Vichwa vikubwa huwa hatupayuki..! Unaficha makandokando ukisha chukua mzigo unazinduka akijidai kupandisha mashetani too late to catch the train..[emoji41] [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ukishachukua mzigo hata akija kushtuka una makandokando hujali mkuu?
 
Mara kibao tu kila nikipata mpenz mpya, actually sijakushangaa ila nimejaribu tu kukuvutia picha unavyojickia
Aisee acha nina kahali flani kafuraha kamenitawala sijui unaelewa nikikwambia shez pure african beutiful queen.. Afu self made, af kastaarabika,sio nimemuelewa haha kanielewa pia yani hapa kaka niache tu... Mungu anajuaga tu wacha aitwe Mungu kwa kweli
 
daah yan nakuelewa kuliko unavyonifikiria
 
Self maana yake nini?
 
Mimi nilichojifunza kwako kaka ni kwamba unavutiwa Na urembo Na kazi ya Huyo Dada kumbuka ndoa ni zaidi ya urembo Na kazi Na hakuna MWL WA ndoa
 
Mimi nilichojifunza kwako kaka ni kwamba unavutiwa Na urembo Na kazi ya Huyo Dada kumbuka ndoa ni zaidi ya urembo Na kazi Na hakuna MWL WA ndoa
this time hakuna makosa ni slow but 100% sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…