Daah kweli Mungu hamtupi mja wake... Aisee siamini

Utakufa wew toka mlivo achana enz za primary mpaka nw ina maana hatazamwi na watu ka unaona ni bahat faster changamkia tenda
 
love at first sight hyo hutokea sana na ikichangiwa ni muda mrefu hamjaonana kila mtu ana hamu na story nying juu ya mwenzie take your time bro dont rush too deep inawezekana ana maisha yake ya mahusiano tayr so chukuen muda kusomana kwanza.... ukienda haraka sana unaweza kumpeperusha ndege mwenyewe.....

Swali ni KAMA YUMO HUMU JF ITAKUAJE?
 
Hahahaaaaa!! Chezea kuchizika! Unajikuta unatabasamu tu ukimkumbuka, mapenzi haya jamani.
By the way how is he?[emoji12]

He is doing fine mom,kuna sehemu nilionaga uliniuliza nikawa busy sikujibu tena.
 
Nifah kwa kujifanya nguli wa haya mapenzi emb potelea insta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umenichekesha sana.

Nope...sio kujitia unguli,unachopitia sasa ni hali ya kawaida.
Wengine tumeshapitia/tupo huko [emoji12]
[emoji126][emoji126][emoji126]
 
So one in million kaka umetisha sana asante ka ushauri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umenichekesha sana.

Nope...sio kujitia unguli,unachopitia sasa ni hali ya kawaida.
Wengine tumeshapitia/tupo huko [emoji12]
[emoji126][emoji126][emoji126]
Usicheke mpaka wakakushangaa, just alil bit...of all that thanks kwa ushauri wa kikongwe
 
Tulia dogo kimeta. Hongera kaka, nasikia nowadays nywele kichwani kwako zaota tofauti na enzi hizo za ujima.
 
Duuh hongera mana si kwa kufurah huko...kua makini usije tendwa tena kama yule wa previous
Usijiingize mzima mzima mana apo kama vile ufaham ushahama
 
Duuh hongera mana si kwa kufurah huko...kua makini usije tendwa tena kama yule wa previous
Usijiingize mzima mzima mana apo kama vile ufaham ushahama
Niko makini vibaya tena nna adabu zote aisee hapa mbna nimekoma haha n Thanks
 
Mkuu ulimuona vizuri manake yey si ndio alikuwa anakuchekia glass yako kama lens iko poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…