Daah kweli Mungu hamtupi mja wake... Aisee siamini

Daah kweli Mungu hamtupi mja wake... Aisee siamini

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
2,584
Reaction score
1,885
Habari waungwana poleni sana na kazi..

Leo nilimechoropoka ofisin nimekuja hospitali flani ya macho mjini hapa NHC HOUSE kurepair lens za miwani maana macho yangu yanamwaga machozi mfululizo afu yananiwasha.

Sasa wakati nasubiri kuingia kwa doctor nikawa nakagua frem za miwani najaribu hii na ile na nini.

Kiukweli sikuwahi kuingia hospitali hiyo ila ushauri wa washikaji kua jamaa wako vizuri pia wanafremu kali za miwani nikaona nijisogeze nione huduma zao kingine si mbali sana na ofisini na nini sio mbaya.

Zamu yangu ilipofika nikaingia nipate tija ya tatizo langu, Namkuta Dr kakaa yupo, "karibu" huku akiwa busy kukagua vipimo vyangu. Nikakaa,sasa wakati namuangalia vizuri tukagongana ile tunaangaliana, heee!!! Nikawa nimepigwa butwaa naangalia vizuri Dr mwenyewe ni class mate wangu wa primary enzi ziile za mchumba, mchumba wote tukabaki tunaangaliana... Yuko do I know you?

Nikawa Like yah Im Joseph n ur schola right? Aisee aliluka kunihug tukachekaa chit chat finally akaniambia kua tatizo ni lens ya miwani yangu imekua weak so nibadilishiwe.
Sasa wakati ushauri wa ki dr umeisha tukiwa tunaendelea na chit chat akauliza umeoa? nikamwambia ni long story ila to make it short bado life is full of shit, akawa tu excited n yuko aisee umekua mkaka sana with how you look unapaswa kua mume wa mtu... Nikacheka tuu ila kimoyo moyo niko once a gentleman always a gentleman tukapeana mawasiliano n kuplan kumeet again.

Kiukweli amekua mkali haswa yani those ladies of that kind,self made af kastaarabika na nimemuelewa saaana nahisi nikikaa hapa moyo wangu utapoa na ntafika mbali.
Muda huu hapa nachati nae namchombeza kama haniamini amini hivi ila dizaini amenielewa pia maana ana vijimaswali flani hivi vinanifanya natabasamu kila text ya whassap ikitua kwenye simu yangu.[emoji56] [emoji56].

Vipi waungwana Yawezekana hii ndio karata yangu chanya, maana ni muda mfupi ila nimetokea kumuelewa vibaya sana huyu dada af kilichoniua zaidi amekua mzuri haswa,
Nishaurini wadau nichangamkie fursa maana daaah si kwa uzuri ule na ustaarabu ule yani niko salama mpaka rohoni[emoji56] [emoji56].
 
Ulifanya kosa hujamuuliza na yeye vipi

Au unadhani macho yako tuu yanaamini ni mzuri wengine hawamuoni

Au ni mbaya macho yako mabovu yanazengua maana nina mchizi wangu anaitwa jose anavaa miwani anaweza toka amekurupukaa na mihemko nico kuna bonge la mtoto nikienda kucheki naona kawaida tuu

Ushauri nitumie picha yake pm nidhibitishe uzuriwake au mkutanishe na jamaa asie vaa miwani ... Amdhibitishe...
 
i

Mkuu tatizo alikuwa bado hajapatiwa miwani, inawezekana baada ya kuvaa miwani akirudi anaweza akamuona tofauti.
 
Ulifanya kosa hujamuuliza na yeye vipi

Au unadhani macho yako tuu yanaamini ni mzuri wengine hawamuoni

Au ni mbaya macho yako mabovu yanazengua maana nina mchizi wangu anaitwa jose anavaa miwani anaweza toka amekurupukaa na mihemko nico kuna bonge la mtoto nikienda kucheki naona kawaida tuu

Ushauri nitumie picha yake pm nidhibitishe uzuriwake au mkutanishe na jamaa asie vaa miwani ... Amdhibitishe...
Aaaah hahaha kaka macho yangu haya danganyi nimemuelewa huyu mtoto ni sent from heaven
 
Hongera mkuu taratibu jifanye nawe ni goodboy wa kutupwa ficha makandokando yako yote!
 
Kaka bado siamini macho yako

Jambo la pili ukipewa miwani

Jaribu kumuuliza na yeye na uzuri wake wote why anakishobokea ghafra na hana mtu why

Mwisho chovyo kidole asali yake
 
Mkuu embu nipe jina la hio hospitali namimi nikamuone classmate
 
Back
Top Bottom