Daah kweli Mungu hamtupi mja wake... Aisee siamini

Daah kweli Mungu hamtupi mja wake... Aisee siamini

Najua ni uroho tu unakusumbua Mkware wewe
 
Ulifanya kosa hujamuuliza na yeye vipi


Au unadhani macho yako tuu yanaamini ni mzuri wengine hawamuoni

Au ni mbaya macho yako mabovu yanazengua maana nina mchizi wangu anaitwa jose anavaa miwani anaweza toka amekurupukaa na mihemko nico kuna bonge la mtoto nikienda kucheki naona kawaida tuu

Ushauri nitumie picha yake pm nidhibitishe uzuriwake au mkutanishe na jamaa asie vaa miwani ... Amdhibitishe...
Nitumie picha ya mkeo na mimi nimcheki kama anafaa
 
Back
Top Bottom