MziziMkavu aka mziziology ameamua kubariki mgomo jf doctorz kwa members wake kutorudisha fadhila.amejikita sana kwenye magojwa malovee aka mahaba ni mtaalamu sana magojwa hayo ni ukimwi,kisonono,nguvu za kiume lakini nguvu za kike maunjanja yalimuishia mengine utamalizia mwenyewe...............,swali:Je ni halali kwa doctor huyu kugoma na kuwaasha wana jf wakichungulia kaburi?af isitoshe nimeshafanya uchunguzi na kukundua kuna mgonjwa anahitaji Tiba ya kisonono kule na hana msaada. nawakilisha bila chegachega
Naomba kutoa taarifa...Vid diesel na sweetlady ni mke na mume halali kabisa wa ndoa...
Hawa kina nitonye na kigango chake ni wapambe tu...so Bishanga na cacico lijueni hili...
Naomba kutoa taarifa...Vid diesel na sweetlady ni mke na mume halali kabisa wa ndoa...
Hawa kina nitonye na kigango chake ni wapambe tu...so Bishanga na cacico lijueni hili...
chondechonde Mzizimkavu ana shift ya usiku huku hospital ya jf.nimekusanya mafile .halafu nurse king'asti tangu aende lunch sijamuona ngoja dr. Riwa atakuja
chondechonde Mzizimkavu ana shift ya usiku huku hospital ya jf.nimekusanya mafile .halafu nurse king'asti tangu aende lunch sijamuona ngoja dr. Riwa atakuja