Dada aliyeacha usister tumekuja kufuatilia kumbe alifukuzwa kutokana na vurugu zake na eti anataka kubadilisha dini aolewe na muislamu

Dada aliyeacha usister tumekuja kufuatilia kumbe alifukuzwa kutokana na vurugu zake na eti anataka kubadilisha dini aolewe na muislamu

Wakuu jana nilileta story kuhusu dada yetu aliyerudi nyumba baada ya kuacha utawa leo tulienda parokiani baada ya kuitwa na parokia na mama mkubwa wa shirika lao la usister aisee kumbe dada alianza vurugu kitambo sana za kutaka kuacha usister ila parokia walikuwa wanamsihi kwa sababu walimsomesha na walikuwa wabamtegemea na kanisa na baada kuona wamemshindwa wakaamua kumfukuza

Na pia inaonekana dada yetu alifumwa na meseji kwenye simu yake na mama mkubwa wa parokia akichati na jamaa ambae alikuwa anamshawishi aache wito wa utawa na tumemuambia huyo jamaa amlete kama kuna mahari atoe ila mimi na mzee wangu tumepanga huyo jamaa akija tumkomeshe adabu na ikiwezekana tumpele polisi haiwezekani amuharibie dada yetu maisha ya utawa na kesho tunampeleke hospital kwa ajili ya kucheki mimba

Na kubwa kabisa ambalo limetuacha hoi eti anataka kubadilisha dini ili aolewe na muislamu kumuuliza sababu eti uislamu ni dini ya haki na dini ya ukweli jamani daaa! ?????????
Waitwao ni wengi lakini wateule ni wachache (Matayo 22:24)! Unapanda ngano shetani anapanda magugu katikati ya ngano (Matayo 13:24-43)! Kwenye kundi la kondoo kuna mbuzi (Matayo 25:31-33)! Haya yote ni kwa mujibu wa maandiko!
 
Nyie ni wajinga sana kwa nini mnawalazimisha watu waishi bila kugegedwa
 
Back
Top Bottom