Leo asubuhi nilikua nasililiza redio Efm, mtangazaji simkumbuki jina zamani alikuwa mtangazaji wa East africa radio kipindi cha Friday night live.
Aliplay ile nyimbo ya Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote,amesema mwimbaji ni dada wa Australia, anasema huyu mama hajui Kiswahili na hajawai kuja Tanzania.
Ila kwa jinsi hiyo alivyoimba wala huwezi kutia shaka,sauti tamu na mpangilio safi wa nota,pamoja na mapungufu madogo sana ya kimatamshi huyu dada anastahili pongezi nyingi. Na kama ulikuwa umekata tamaa kuhusu Tanzania uimbaji wa huyu dada utakutia nguvu tena.
Kama kuna aliye bahatika kupata link atuweke hapa.

Ninayo video yake....kajitahidi mno
Ninayo video yake....kajitahidi mno
Nenda page ya Absalom Kibanda fb, nimeshindwa kuileta hapa.
nenda MICHUZI blog
Ninayo video yake....kajitahidi mno
Tupia mkuu
Weka link ndugu
Ninayo video yake....kajitahidi mno