Dada aliyeimba nyimbo ya 'Tanzania nakupenda' yuko Australia?

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Leo asubuhi nilikua nasililiza redio Efm, mtangazaji simkumbuki jina zamani alikuwa mtangazaji wa East africa radio kipindi cha Friday night live.

Aliplay ile nyimbo ya Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote,amesema mwimbaji ni dada wa Australia, anasema huyu mama hajui Kiswahili na hajawai kuja Tanzania.

Ila kwa jinsi hiyo alivyoimba wala huwezi kutia shaka,sauti tamu na mpangilio safi wa nota,pamoja na mapungufu madogo sana ya kimatamshi huyu dada anastahili pongezi nyingi. Na kama ulikuwa umekata tamaa kuhusu Tanzania uimbaji wa huyu dada utakutia nguvu tena.

Kama kuna aliye bahatika kupata link atuweke hapa.
 
Ni tetesi au??
 
Nenda page ya Absalom Kibanda fb, nimeshindwa kuileta hapa.
 
Wewe pia sio Mtanzania..!? ILE NYIMBO.. kiswahili gani! = ULE WIMBO.
 
Back
Top Bottom