Wakuu poleni na majukumu. Tafadhali sio mimi mpangaji mwenzangu. Alikuwa anafanya kazi kariakoo kwenye duka la nguo ila kwa sasa biashara haiendi vizuri bosi imebidi asimamishe biashara huyu dada sasa yupo nyumbani hali ni ngumu.
Tafadhali kama una nafasi iwe kwenye mgahawa au dakani msaidie binafsi msaada nilio mpa ni kufikisha hitaji lake hapa.
Kwa atakae wiwa au mwenye uwezo wa kumshika mkono aje pm nitampa mawasiliano yake.
mwanamke.
Makazi temeke
Umri miaka 25