Dada anayetangaza pamoja na Sami Missago kwenye enewz ya eatv ni shida

hako kadada sikakubali
kana sauti ya kitoto akati MTU mzima..
unaweza kudhani mtoto anatangaza kumbe jimama!
halafu badala ya kutangaza
muda wote anashika shika wig lake hapo ndipo anaponichefua kwakweli...
huyu Dada kwa mustafa hasanali kunamfaa
utangazaji hapana.
 
Mmmh
 
Nasikia eti kabla hajaenda China hakuwa hivo
 
Wengineee washa mpigia na PUNYETO .....chaputaaaaa hoyeeeeeeeeee
 
Huyu demu m sumpendi anajichetua mbaya hatuliii kisauti kama kala chumvi
 
Ok ok bi mkubwa nimekuelewa...ila kazuri mwee
 
Mi kuna mdada mmoja wa channel ten, huwa suruali yanidondoka.
 
Nilitaka kushangaa habari kuhusu yeye haijafika huku hadi leo.
Hawa ndio wanaume zetu [emoji17]
ahahahahahahhaha dunia ndiyo inaisha acha tuimalizie. nipe namba yako basi tumalize dunia vizur hahhhahahahahhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…