Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhako kadada sikakubali
kana sauti ya kitoto akati MTU mzima..
unaweza kudhani mtoto anatangaza kumbe jimama!
halafu badala ya kutangaza
muda wote anashika shika wig lake hapo ndipo anaponichefua kwakweli...
huyu Dada kwa mustafa hasanali kunamfaa
utangazaji hapana.
I see!!!!!Huyu anatangaza redio gani nimtafute dah View attachment 461226
Cushioning,stabilizer,shock absober,stimulant etcHivi huyo Chura anatumikaje faragha?
Mungu anakuonaKina dada wanaajiriwa Kwa mengi,ushawah jiuliza shadee wa clouds alipataje kaz ya utangazaj pale na sauti ile mbaya iliyokauka?
Mkishindwa kumpata mje mniambieHata mm natafuta namba zake .mkuu ukizipata nipasie mm kila mtu ajaribu bahati yake
Ok ok bi mkubwa nimekuelewa...ila kazuri mweehako kadada sikakubali
kana sauti ya kitoto akati MTU mzima..
unaweza kudhani mtoto anatangaza kumbe jimama!
halafu badala ya kutangaza
muda wote anashika shika wig lake hapo ndipo anaponichefua kwakweli...
huyu Dada kwa mustafa hasanali kunamfaa
utangazaji hapana.
yes mzuriOk ok bi mkubwa nimekuelewa...ila kazuri mwee
ahahahahahahhaha dunia ndiyo inaisha acha tuimalizie. nipe namba yako basi tumalize dunia vizur hahhhahahahahhaaNilitaka kushangaa habari kuhusu yeye haijafika huku hadi leo.
Hawa ndio wanaume zetu [emoji17]
Kwako chura yupo?Nilitaka kushangaa habari kuhusu yeye haijafika huku hadi leo.
Hawa ndio wanaume zetu [emoji17]