nyasangaboy
Senior Member
- Jul 14, 2020
- 127
- 58
Hiki ndo kitakachotokea, ni suala la muda tuAngalia kuna mababazi humu!
Wasije mla kimasihara dada yako!
Unataka nani aliwe?Angalia kuna mababazi humu!
Wasije mla kimasihara dada yako!
Anatake bei gani?Habari zenu wadau,
Nina dada angu anatafuta amesomea mambo ya hotel so ni mpishi mzuri.Mbali na hlo pia anaweza kufanya kazi kama dukani na nyingne za halali.
Kwa mawasiliano niibox ili nikuunganishe nae.
anataka shilingi ngapi kama mshaharaHabari zenu wadau,
Nina dada angu anatafuta amesomea mambo ya hotel so ni mpishi mzuri.Mbali na hlo pia anaweza kufanya kazi kama dukani na nyingne za halali.
Kwa mawasiliano niibox ili nikuunganishe nae.
hahahaUnataka nani aliwe?
Ni mzuri wa kutengeneza vyakula gani? Seafoods, Chinese cuisine, continental, vyakula vya Kiswahili, Kihindi au?Habari zenu wadau,
Nina dada angu anatafuta amesomea mambo ya hotel so ni mpishi mzuri.Mbali na hlo pia anaweza kufanya kazi kama dukani na nyingne za halali.
Kwa mawasiliano niibox ili nikuunganishe nae.
Unataka nani aliwe?
Nilitaka kumsaidia dada yako kwa vile ww mwana Jf umemuombea kazi.Habari zenu wadau,
Nina dada angu anatafuta amesomea mambo ya hotel so ni mpishi mzuri.Mbali na hlo pia anaweza kufanya kazi kama dukani na nyingne za halali.
Kwa mawasiliano niibox ili nikuunganishe nae.
Nilitaka kumsaidia dada yako kwa vile ww mwana Jf umemuombea kazi.
Naona kimya.
Basi mwambie atume cv yake hapa:
patiotanzania@gmail.com
Atapambana na wenzake kwenye usail.
Fursa sawa kwa wote
Shukrani ndugu Mungu akubariki.
Msaada wako plzNilitaka kumsaidia dada yako kwa vile ww mwana Jf umemuombea kazi.
Naona kimya.
Basi mwambie atume cv yake hapa:
patiotanzania@gmail.com
Atapambana na wenzake kwenye usail.
Fursa sawa kwa wote
200kanataka shilingi ngapi kama mshahara
Hivi kigezo kikuuu kwenye hii kazi nn kwao???msaada wako tafadhali