Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
We!!! Usimtakie mabaya mwanangu ephen_ bure!!!yule dada alisema walikutana bar maeneo ya ilala wewe tembelea maeneo hayo atakaye kutokea ndio huyo huyo picha utaipata live chumbani mkiwa pamoja!
Tunywen kwanza chai jaman khaaa
Kwa hiyo kakosa zawadi ya "Valendino"?Siku ya kushukuru na kusambaza upendo halafu wao wanataka kujipikilisha?Wawe na adabu.Haya mambo ya kuiga maisha ya kizungu na kupenda vitu ambavyo huna uwezo navyo yanatufikisha pabaya. Usiku wa kuamkia leo, kizaazaa kimezuka katikati ya jiji ndani ya eneo la guest.
Dada mmoja alijikuta akikimbia nje mbio akiwa na chupi mkononi baada ya kushindwa kuhimili ukubwa wa pongoo la njemba aliyekuwa naye.
Akiwa hana jinsi, dada alikimbilia kwa walinzi wa jengo jirani ili kuomba msaada. Walinzi walifanikiwa kumrudisha ndani ya guest na kumsaidia kuchukua nguo zake.
Akisimulia kwa ufupi sana, dada alisema njemba iling’ang’ania kuzima taa, na hapo ndipo alipoanza kuhisi kama anasokomezwa joka la sawaka. Alipata wakati mgumu kupumua, huku uwezo wa kuendelea na "mchezo" ukitoweka kabisa kutokana na ukubwa wa pongoo la njemba.
Mwisho wa simulizi yake, dada huyo aliomba msaada wa usafiri ili kurejea kwao Mbezi Jogoo, ambako alisema anaishi na dada yake.
Wakati hayo yakitokea, njemba iliteleza kama kambare, ikachukua boda boda na kutokomea kusikojulikana.
Kwa kuheshimu utu wa dada huyo, sikupiga picha. Lakini dada zetu, usikubali kutoka na mtu
Kazi kweli kweli!Kwa hiyo kakosa zawadi ya "Valendino"?Siku ya kushukuru na kusambaza upendo halafu wao wanataka kujipikilisha?Wawe na adabu.
Kuna wakati nikijisikia kucheka ntaingia zangu JF maan Kuna vituko huku hatarHaya mambo ya kuiga maisha ya kizungu na kupenda vitu ambavyo huna uwezo navyo yanatufikisha pabaya. Usiku wa kuamkia leo, kizaazaa kimezuka katikati ya jiji ndani ya eneo la guest.
Dada mmoja alijikuta akikimbia nje mbio akiwa na chupi mkononi baada ya kushindwa kuhimili ukubwa wa pongoo la njemba aliyekuwa naye.
Akiwa hana jinsi, dada alikimbilia kwa walinzi wa jengo jirani ili kuomba msaada. Walinzi walifanikiwa kumrudisha ndani ya guest na kumsaidia kuchukua nguo zake.
Akisimulia kwa ufupi sana, dada alisema njemba iling’ang’ania kuzima taa, na hapo ndipo alipoanza kuhisi kama anasokomezwa joka la sawaka. Alipata wakati mgumu kupumua, huku uwezo wa kuendelea na "mchezo" ukitoweka kabisa kutokana na ukubwa wa pongoo la njemba.
Mwisho wa simulizi yake, dada huyo aliomba msaada wa usafiri ili kurejea kwao Mbezi Jogoo, ambako alisema anaishi na dada yake.
Wakati hayo yakitokea, njemba iliteleza kama kambare, ikachukua boda boda na kutokomea kusikojulikana.
Kwa kuheshimu utu wa dada huyo, sikupiga picha. Lakini dada zetu, usikubali kutoka na mtu
Kucheka ni afya na kuongeza siku za kuishi!Kuna wakati nikijisikia kucheka ntaingia zangu JF maan Kuna vituko huku hatar
Fresh tu mwanangu mimi kuna mmoja namlia mingo, mme wake katinga unyamwezini mkali, yani ikitiki lazima maisha yakae mwamba , yani ni unyama kama wote budaa🤙
HakikaKucheka ni afya na kuongeza siku za kuishi!
Gauni jekundu la valentine linahusikaje hapa?Haya mambo ya kuiga maisha ya kizungu na kupenda vitu ambavyo huna uwezo navyo yanatufikisha pabaya. Usiku wa kuamkia leo, kizaazaa kimezuka katikati ya jiji ndani ya eneo la guest.
Dada mmoja alijikuta akikimbia nje mbio akiwa na chupi mkononi baada ya kushindwa kuhimili ukubwa wa pongoo la njemba aliyekuwa naye.
Akiwa hana jinsi, dada alikimbilia kwa walinzi wa jengo jirani ili kuomba msaada. Walinzi walifanikiwa kumrudisha ndani ya guest na kumsaidia kuchukua nguo zake.
Akisimulia kwa ufupi sana, dada alisema njemba iling’ang’ania kuzima taa, na hapo ndipo alipoanza kuhisi kama anasokomezwa joka la sawaka. Alipata wakati mgumu kupumua, huku uwezo wa kuendelea na "mchezo" ukitoweka kabisa kutokana na ukubwa wa pongoo la njemba.
Mwisho wa simulizi yake, dada huyo aliomba msaada wa usafiri ili kurejea kwao Mbezi Jogoo, ambako alisema anaishi na dada yake.
Wakati hayo yakitokea, njemba iliteleza kama kambare, ikachukua boda boda na kutokomea kusikojulikana.
Kwa kuheshimu utu wa dada huyo, sikupiga picha. Lakini dada zetu, usikubali kutoka na mtu
Jiongeze mbona kama huna "D"2 jamnGauni jekundu la valentine linahusikaje hapa?
Sina D mbili mkuu. NifafanulieJiongeze mbona kama huna "D"2 jamn
Apate pesa ya gauni jekundu!Gauni jekundu la valentine linahusikaje hapa?