PostGE2025 Dada Cherry Hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa

PostGE2025 Dada Cherry Hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
1763820901680.png


Dada #cherry_hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa. Nyumba yao ilivamiwa na watu waliofunika nyuso zao ambao walivunja geti na kuingia ndani kisha kung'oa CCTV camera. Walitoa taarifa polisi na kupost kwenye kurasa zao za social media kuhusu tukio hioo. Baada ya hapo hawapatikani kwenye simu, wala nyumbani kwao hawapo. Haijulikani kama wamekamatwa na Polisi, au wametekwa na wasiojulikana au wametoroka kuhofia usalama wao. Kabla ya tukio hilo Cherry alitumiwa sms ya vitisho na mtu anayejiita James Bwanali (slide 3). Kwahiyo mnaweza kumpigia simu huyo "bwabwaAli" kumuuliza walipo ndugu zetu hawa
 
Kama ameanza mda mrefu hiyo, huwa inafubaza wadudu hadi kwa 10% na ikiwa kwenye hiyo level haambukizi mzee, unapiga dry vivuri kabisa na chumvini unazama kusafisha utandu
Watu wa Mungu hawayuni. Ameanza kutafuna njugu toka 2012. Ujumbe murua hapo chini.


King Kong III
 
Hao walienda ubalozi wa Canada kupata hifadhi baada ya vibaka wa policcm kuvamia nyumbani kwao.

Kama wamefanikiwa kupata hifadhi ya kudumu nje ya nchi ni heri maana kukemea utekaji kwa Tanzania ni hatari kuliko utekaji wenyewe.
 
Wapo uhamishoni, naona kuna michakato inafanyika kama sio germany kwa nuruvazi, basi canada kwa munalove
 
Back
Top Bottom