Dada emyta moyo wangu umekutunuku

Dada emyta moyo wangu umekutunuku

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti ubuyu wa pm una pilipili lol! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa hekima zako na busara hutaki Pilipili iwawashe[emoji28][emoji28]

[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]

Umewajua lakini wanaotaka ubuyu wenyewe ni Mwifwa na Numbisa.

Tatizo nawaheshimu hawa wadogo zangu na si unajua tena saa nyingine ubuyu wa PM unakuwa na pilipili [emoji12] [emoji12] sasa wadogo zangu hawa utawashinda hata kuonja.

Hivyo wacha tu uwapite. [emoji87]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera kwa kuwalinda wasisogee kwenye ubuyu wenye pilipili kali lol!

[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]

Kweli kabisa yaani unanifaa mimi dada yao pekee. [emoji23] [emoji23]
 
Sawa mkuu kwa style hiyo unaweza kutongoza wanawake wote na usipate kitu mkuu.
Unajua unatakiwa kumtongoza hadi mwisho unamuonea huruma unamsaidia kupotezea kisa ndoa yake.

Jibu la kuwa na mtu kwa mwanamke ni la kawaida mno na kila mwanamke anaweza kukujibu hivyo mwanzoni.
[emoji106] hiki kichwa kisafi kweli!
 
Back
Top Bottom