Hahaaaaa. Siwawezi mjue yaani mnataka na ubuyu wa Pm
[emoji23] [emoji23]Mwanamke unayetaka kumlala unamuitaje dada
Kweli kabisa yaani unanifaa mimi dada yao pekee. [emoji23] [emoji23]
mxuuuuu!!,kula sepa wewe kwani wataka kuoa!Naheshimu wake za watu Mimi coz what goes around comes around
[emoji106] hiki kichwa kisafi kweli!Sawa mkuu kwa style hiyo unaweza kutongoza wanawake wote na usipate kitu mkuu.
Unajua unatakiwa kumtongoza hadi mwisho unamuonea huruma unamsaidia kupotezea kisa ndoa yake.
Jibu la kuwa na mtu kwa mwanamke ni la kawaida mno na kila mwanamke anaweza kukujibu hivyo mwanzoni.
Hahaaaaa. Siwawezi mjue yaani mnataka na ubuyu wa Pm
Hahaaaa. Umeonaee. Kama nakuona vile Numbisa unavyoutamania.
Ubuyu wa pm una viwango vya hali ya juu.
Askari siku hizi umepotea sana. interview na warembo pm tu.[emoji106] hiki kichwa kisafi kweli!
Hahaha nitakuja muda sio mrefuAskari siku hizi umepotea sana. interview na warembo pm tu.
Wengine wadirect pm yang nikusaidie kazi mzazi