Nafasi ya mpiga drums ni yangu sitaki ugomvi na mtu kabsa.
kikungu mimi nimetokea kwenye lile kabila maarufu linaloongoza kwa maduka na biashara hapa nchini,na pia tunaongoza kwa kupenda vilevi vya aina mbalimbali ikiwemo mbege
sasa we kama unaweza liaaaa kwa sauti ukumbini najua upande wa mume watakupa hela ili unyamaze ila hizo hela baadae tutakuja kugawana bila hata bwanaharusi kujua,hapa unasemaje?
kaka zangu na dada zangu wana jf nawakaribisha mje mniimbie kwenye harusi yangu huuu wimbo
dada huyooo anaolewa
dada huyoooo anaolewa
mahariiii ishatolewaaaa
mahariiii ishatolewaaaa
kwa watakao kuja please confirm ili niwaandalie kadi pamoja na notten za wimbo lol
nyani ngabu atakua anaimba solo, rosweeter atakua anaongoza msafara wa waimbaji, babu ngosha atakua anapiga kinanda na preta atatoa wosia kwa niaba ya mmu
tafadhali pendekeza jina la mtu wa kupiga gitaa, kucheza ngoma,kamati ya chakula, vinywaji nk
haya uwanja ni wenu
Deal done,Mtende,na mie nilijua tu kama ndio kutoka kule kaskazini ambako mtoto akizaliwa leo akisigikia coin imeanguka anachungulia sio mchezo.Na dollar mia tukipiga pasu hapo uongo na hasa kipindi hiki cha HANDSOME BOY wa pale BWAGAMOYO kilivyokuwa kigumu mbona deal tayari.
hongeraaaaa. Kumbe na wewe ni Mwali?
Harusi lini? Mi niweke katika watakao pika
Nikiwa huko nachoma maini nakula na ugali.
mie najitolea kupokea zawadi.....
Kwa ni ugali ni wa sherehe? Ugali ni sisi wapishi, tunalia jikoni na mainihahaaa mwali sasa ugali hautakuwepo, anyway ngoja ntakununulia kiroba cha unga ili nisikukoseshe uhondo,wewe utakua mwenye chair kamati ya mapishi,najua utahakikisha wahusika wanakorofisha misosi ipasavyo
Kwa ni ugali ni wa sherehe? Ugali ni sisi wapishi, tunalia jikoni na maini
Huku ukumbini mnakula pilaw na njegere kwa sinia, na rojo ya utumbo.
Halafu reception ndio tunaleta cattering ya hotelini.
Hatukuamini kiivo, lazima tukuweke na Bagah msaidizane.mie najitolea kupokea zawadi.....
shabban usijali nafasi umeipata ila sasa bwana harusi ni bondia na ana wivu kweli, hakikisha unapata mazoezi ya kutosha
hehehe dotworld kama shabban mwana riadha basi mimi sina shaka maana bwana harusi hana mbio kabisa yeye anajua tu kupiga mangumi.
Na wewe ondoa shaka kwani Bwana Shabban ni mwanariadha mzuri sana! - kwa hiyo huyo Bondia amkimbize mwanariadha si mpaka amkamate ndio aweze kumdunda!
.
kaka zangu na dada zangu wana jf nawakaribisha mje mniimbie kwenye harusi yangu huuu wimbo
dada huyooo anaolewa
dada huyoooo anaolewa
mahariiii ishatolewaaaa
mahariiii ishatolewaaaa
kwa watakao kuja please confirm ili niwaandalie kadi pamoja na notten za wimbo lol
nyani ngabu atakua anaimba solo, rosweeter atakua anaongoza msafara wa waimbaji, babu ngosha atakua anapiga kinanda na preta atatoa wosia kwa niaba ya mmu
tafadhali pendekeza jina la mtu wa kupiga gitaa, kucheza ngoma,kamati ya chakula, vinywaji nk
haya uwanja ni wenu