Dotworld
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,035
- 3,776
Mi niweke kamati ya ulinzi!
Mkuu kamati ya Vinywaji! .. ndio mpango mzima ... mkuu vipi wewe bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi niweke kamati ya ulinzi!
Mi niweke kamati ya ulinzi!
baba ubaya hamna tatizo
ila sasa ulinzi hutakiwi kuvaa suti, kuna magwanda special utapewa pale mlangoni ili watu wakutambue kuwa wewe ni security
rungu ya kimasai pamoja na gobole vitatumika kuwaadabisha wote watakaokiuka sheria kwa hiyo anza kujifunza matumizi ya hizo zana