Mi niweke kamati ya ulinzi!
baba ubaya hamna tatizo
ila sasa ulinzi hutakiwi kuvaa suti, kuna magwanda special utapewa pale mlangoni ili watu wakutambue kuwa wewe ni security
rungu ya kimasai pamoja na gobole vitatumika kuwaadabisha wote watakaokiuka sheria kwa hiyo anza kujifunza matumizi ya hizo zana