mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Unanikumbusha muganda flani alikula mkikuyu alipokuja Kwa safari rally Kenya alishinda siku tatu mfululizo akimtafuta huyo dem Kwa umati Kwa mashabiki 🤣Nchi yenu isi haribike kabla sijala mkikuyu ..
Wakuje saa hii, je Wana bundleView attachment 3045216View attachment 3045217
Huyu dada ni nani?? Huyu dada anaumashuhuri Gani miongoni mwa Gen Z??
Inakuwaje pichani hapo amevaa nguo kama za kijeshi??
Vipi tetesi zinazoenea kuwa ameuliwa ni za kweli?
Kwenu wakenya na Gen Z wa Tz wa kwenye keyboard na classmate wangu Bladdley ouna naombeni mkuje na majibu