mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Huyu dada ni nani?? Huyu dada anaumashuhuri Gani miongoni mwa Gen Z??
Inakuwaje pichani hapo amevaa nguo kama za kijeshi??
Vipi tetesi zinazoenea kuwa ameuliwa ni za kweli?
Kwenu wakenya na Gen Z wa Tz wa kwenye keyboard na classmate wangu Bladdley ouna naombeni mkuje na majibu