Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

Mkuu Tyta mimi nipo kwenye process kwa Janet Mbugua

HAYO KATIKATI SIJUI ALIYAPATAJE GHAFLA...
janet+before+n+after.jpg
1002588_178200172361886_283067772_n.jpg
 
mbona yuko kawaida sana tu huyo......hujaonaga warembo nn ww? Njoo huku pande setu ndo utajua
hao wa pande zenu huwaga wanatangaza kwa TV, jamaa kampenda huyo wa kwenye tv, kwani kakwambia kuwa akienda baa huwa hawaoni wanyange wa ukweli?
 
Yaani unatumia fake id alafu bado unaogopa kuwa muwazi???...
Unashindwa kumtaja mtu unayemmaanisha??
 
Siku hizi karudi kwenye hali yake kapendeza balaa..huwa tunachat sana!!!
 
uzuri hauna albadir....
Mkuu nisaidie na za Magreth Cosmas wa ITV na Radio one...Yule mrembo namzimia balaaa she is such a wife material banah...haiba ya umwanamke kwa sanaaaa anonekana hajui kukasirika yan acha tu!!!
 
Mbona watanzania mnapenda sana used.
Gari used
nguo used
simu used
jokofu used
wanawake used

Hta huyo unaemtamani ni USED.

Mkuu PAKAYA Umenichekesha sana.ha ha haa 😀 😀
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nisaidie na za Magreth Cosmas wa ITV na Radio one...Yule mrembo namzimia balaaa she is such a wife material banah...haiba ya umwanamke kwa sanaaaa anonekana hajui kukasirika yan acha tu!!!

Magret.jpg

Amezaliwa tarehe 07th march mkoani Dodoma.

Katika ITV anatangaza vipindi kama Malumbano ya Hoja na Habari za Biashara, Pia ni muandaaji na mtangazaji wa Vipindi vya Nipashe na Miwani ya maisha kwa upande wa radio one stereo.

Masomo ya uandishi wa habari na utangazaji niliyapata katika chuo cha uandishi wa habari Morogoro (MSJ). Baadae nilijiunga na Chuo cha Catholic University of Eastern Africa (CUEA). Nilianza rasmi utangazaji katika Radio Mwangaza Fm ya mjini Dodoma.

Anapenda sana Utalii hasa katika mbuga za wanyama na maeneo ya kihistoria pamoja na kusikiliza muziki na kuangalia nyimbo za injili.
Wali samaki na ugali nyama choma ni chakula akipendacho.

Vinywaji anavyopenda ni Juisi na vinywaji vingine visivyo na kievi.

Kufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma ndio furaha yake.
source::: Magret Cosmas
 
Mwenye huyu mtu kapata wife material kwa kweli!! Sijui ataniPM kama bado hajawa na mwenza! acha niendelee kusubiria
 
Magret.jpg

Amezaliwa tarehe 07th march mkoani Dodoma.

Katika ITV anatangaza vipindi kama Malumbano ya Hoja na Habari za Biashara, Pia ni muandaaji na mtangazaji wa Vipindi vya Nipashe na Miwani ya maisha kwa upande wa radio one stereo.

Masomo ya uandishi wa habari na utangazaji niliyapata katika chuo cha uandishi wa habari Morogoro (MSJ). Baadae nilijiunga na Chuo cha Catholic University of Eastern Africa (CUEA). Nilianza rasmi utangazaji katika Radio Mwangaza Fm ya mjini Dodoma.

Anapenda sana Utalii hasa katika mbuga za wanyama na maeneo ya kihistoria pamoja na kusikiliza muziki na kuangalia nyimbo za injili.
Wali samaki na ugali nyama choma ni chakula akipendacho.

Vinywaji anavyopenda ni Juisi na vinywaji vingine visivyo na kievi.

Kufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma ndio furaha yake.
source::: Magret Cosmas

Umetisha mbaya mkuu. Hakika JF is a place where information made their home
 
Yupo na yule wa star tv,yeye husoma habari..yuko vizuri,Mungu fundi ujue
 
Back
Top Bottom