Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

Yani wanaume wanapenda wanawake wa kwenye taarifa ya habari na wanawake wanapenda wanaume wa kwenye tamthilia/bongo movie
 
Tehee, ama kweli kipenda roho kula nyama mbichi, asa ndo nini hii?

Dah!we acha tu labda kaji post mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…